Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002. Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini kwani
Soma ZaidiTuelimike ina uongozi kama ambavyo wameorodheshwa hapa chini.
Douglas Mwaisaka ni mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Tuelimike
Muhabile Privatus ni katibu mtendaji wa taasisi ya tuelimike
Gervas Mgimba ni Mratibu wa programu kwenye Taasisi ya Tuelimike
Peter Michael Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi
Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini
Mradi huu wa kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone ni mradi unaofadhiliwa na umoja wa Africa (AU) kwa kushirikiana na Umoja wa Ujerumani kupitia kitengo cha AGYI_IF (African German Youth initiative- innovation Fund) mradi huu unatekelezwa katika nchi tano za Afrika ambazo ni Tanzania, Afrika kusini, Ghana, Togo na Benin.
Jamhuri ya Watu wa China imesema itaendela kuisaidia Tanzania katika sekta ya Elimu kwenye eneo la Elimu ya Juu, utoaji wa mafunzo ya U
Siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia ni kampeni ya Kimataifa inayoongozwa na Kituo cha Kimataifa cha wanawake katika uongozi tangu
Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Hal