Loading...

TIMU NZIMA YA TUELIMIKE

Timu Yetu

Sehemu hii inajumuisha waanzilishi wa asasi,viongozi wa asasi pamoja na wa bodi ya Tuelimike.

Image

Douglas Mwaisaka

Mkurugenzi Mtendaji

Douglas Mwaisaka ni mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Tuelimike

Image

Muhabile Privatus

Katibu Mtendaji

Muhabile Privatus ni katibu mtendaji wa taasisi ya tuelimike

Image

Gervas Mgimba

Gervas Mgimba ni Mratibu wa programu

Gervas Mgimba ni Mratibu wa programu kwenye Taasisi ya Tuelimike

Image

Peter Michael

Afisa Ufuatiliaji na Tathmini

Peter Michael Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi

Image

Julius Mnyema

Afisa uhamasishaji Jamii

Julius Mnyema ni Afisa Uhamasishaji Jamii katika Taasisi ya Tuelimike

Image

Patrick Nzengo

Afisa Kilimo

Patrick Nzengo ni Afisa Kilimo katika taasisi ya Tuelimike

Kuhusu Sisi

Image

KUHUSU ASASI YA TUELIMIKE

Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002. Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini kwani

Soma Zaidi

Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002. Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini.....Soma Zaidi

Copyright © Tuelimike | Crafted by Israel Biselu