Loading...

TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA

TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA

TANGAZO MKURUGENZI WA ASASI YA TUELIMIKE ANATANGAZIA UMMA NAFASI ZA KUJITOLEA TUELIMIKE NI SHIRIKA LILISO LA KISERIKALI LINALOFANYA KAZI WILAYA YA MPANDA, MAKAO MAKUU YAKE YAPO KIJIJI CHA ISANJANDUGU KATA YA NSIMBO HALMASHAURI YA NSIMBO MKOANI KATAVI TUMESAJILIWA KWA NAMBA 16NGO/00005237 CHINI YA SHERIA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI NO. 24 YA MWAKA 2002.

Categories: MATANGAZO, Ajira

1 Comments

Leave a comment