Loading...

HAKIELIMU Kuzinduzia Ripoti ya uchambuzi wa kina wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014

HAKIELIMU   Kuzinduzia  Ripoti ya uchambuzi wa kina wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014

Mpendwa Rafiki, Salaam kutoka HakiElimu! Tunapenda kukufahamisha kuwa Siku ya Tarehe 29 Aprili 2021, Shirika la HakiElimu litazindua ripoti ya uchambuzi wa kina wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014. Ripoti hiyo, ambayo imepewa jina la "Elimu Tunayoitaka", imebainisha maeneo ya kisera yenye changamoto na kupendekeza maboresho katika mfumo wetu wa elimu. Unaweza kufuatilia moja kwa moja tukio la uzinduzi wa ripoti hii na kushiriki katika mjadala kupitia link zifuatazo: Swahili Link: https://zoom.us/webinar/register/WN_HcNnHDHPREmvHWdi1Gbzeg au https://bit.ly/3nqnI8V English Link:: https://us02web.zoom.us/webinar/register/WN_Dfq5VBaxRDqKLOwroqLdvw or https://bit.ly/3gImu7U

Categories: Elimu, Elimu Yetu

0 Comments

Leave a comment