
Mradi huu wa kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone ni mradi unaofadhiliwa na umoja wa Africa (AU) kwa kushirikiana na Umoja wa Ujerumani kupitia kitengo cha AGYI_IF (African German Youth initiative- innovation Fund) mradi huu unatekelezwa katika nchi tano za Afrika ambazo ni Tanzania, Afrika kusini, Ghana, Togo na Benin.