Loading...

Historia ya Asasi

Historia ya Asasi

Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002. Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini DIRA: kugusa anga za maarifa na kubadilishana uzoefu kujenga uwezo wa watu wa rika zote kama kipaumbele cha kupata mabadiliko chanya. DHIMA: Kuangalia jamii vijijini kwa kutumia maarifa katika kuleta mabadiliko katika mipango ya kimaendeleo kwa kutumia fursa na maarifa kama njia ya kupunguza umaskini uliokithiri kwa kushirikiana, kujiamini na kithubutu

Categories: Mwanzo, Historia ya asasi

3 Comments

  • james
    at November 16, 2020, 7:23 pm

    Sawasawa pongezi kwenu
  • Costa
    at November 15, 2020, 3:05 pm

    Hongereni sana

Leave a comment