Loading...

MIRADI YETU

Miradi Yetu

Msichana Shule kwanza

Shule ni haki ya kila mtoto mwenye umri wa kwenda shule ili kufanikiwa kkatika di

Read More...

MAENEO/SHUGHULI ZA MRADI

Mradi huu utajikita kuwezesha vijana kwenye kilimo cha mbogamboga kama vile kabeji, pilipili hoho, nyanya na vitunguu maji kwa kutumia umwagiliaji wa matone. UTEKELEZAJI WA MRADI Mradi huu utatekelezwa kama ifuatavyo; 1. Kutoa mafunzo kwa vijana kumi (10) watakao kuwa wawezeshaji kwa vijana wengine. 2. Kutoa mafunzo ya ujasiliamali k

Read More...

MRADI WA UMWAGILIAJI

Mradi huu wa kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone ni mradi unaofadhiliwa na umoja wa Africa (AU) kwa kushirikiana na Umoja wa Ujerumani kupitia kitengo cha AGYI_IF (African German Youth initiative- innovation Fund) mradi huu unatekelezwa katika nchi tano za Afrika ambazo ni Tanzania, Afrika kusini, Ghana, Togo na Benin.

Read More...

Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002. Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini.....Soma Zaidi

Copyright © Tuelimike | Website design by Israel Biselu