Tuelimike ni Asasi isiyo ya kiserikali inayofanyakazi Wilaya ya Mpanda Makao makuu yake yapo Kijiji cha Isanjandugu, Kata ya Nsimbo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi imesajiliwa kwa namba 16NGO/00005237 chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali No. 24 ya mwaka 2002.
Tuelimike inalenga kuiwezesha jamii kupata Elimu ndani na nje ya darasa ili kuweza kukuza uelewa katika mazingira yanayotuzunguka hasa maeneo ya vijijini kwani
Tuelimike inafikiria kugusa jamii kwa kutumia maarifa na uzoefu wa pamoja. Kukuza kufikiria na kujenga uwezo kwa watu wa kila kizazi ndio kipaumbele kuu kupata mabadiliko chanya
Kuangalia jamii vijijini kwa kutumia maarifa katika kuleta mabadiliko katika mipango ya kimaendeleo kwa kutumia fursa na maarifa kama njia ya kupunguza umaskini uliokithiri kwa kushirikiana, kujiamini na kithubutu.
kugusa anga za maarifa na kubadilishana uzoefu kujenga uwezo wa watu wa rika zote kama kipaumbele cha kupata mabadiliko chanya.
Timu Yetu
Tuelimike ina uongozi kama ambavyo wameorodheshwa hapa chini.
Douglas Mwaisaka
Mkurugenzi Mtendaji
Douglas Mwaisaka ni mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Tuelimike
Muhabile Privatus
Katibu Mtendaji
Muhabile Privatus ni katibu mtendaji wa taasisi ya tuelimike
Gervas Mgimba
Gervas Mgimba ni Mratibu wa programu
Gervas Mgimba ni Mratibu wa programu kwenye Taasisi ya Tuelimike
Peter Michael
Afisa Ufuatiliaji na Tathmini
Peter Michael Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi